Nani aanze, nani asubiri vs Ihefu Fc leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2020
Nani aanze, nani asubiri vs Ihefu Fc leo?

Kikosi cha Yanga Alasiri ya leo kitashuka kunako uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya kuikabili Ihefu fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa tisa Alasiri

Huu ni mchezo mwingine ambao kocha Cedric Kaze atahitaji kuchanga karata zake vyema ili kuona anaondoka na alama zote tatu

Kaze ametumia kikosi chake imara michezo mitano iliyopita na alifanikiwa kuondoka na alama zote 15

Mchezo wa leo hautarajiwi kuwa na mabadiliko makubwa upande wa kikosi, zaidi Wananchi pengine wataweza kumshuhudia Saido Ntibazonkiza akianza kwenye kikosi cha kwanza

Ntibazonkiza alikuwa chachu ya ushindi mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji akifunga bao moja na kutengeneza jingine Yanga ikishinda mabao 3-1

Katika mchezo huo Ntibazonkiza alicheza kwa dakika 45 tu

Yanga imepania kushinda mchezo huo ili kuhakikisha wanafunga mzunguuko wa kwanza wakiwa hawajapoteza mchezo na muhimu zaidi kuiendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’