Kiungo wa Yanga Carlinhos amerejeshwa jijini Dar es salaam kuendelea na matibabu baada ya kutonesha jeraha visiwani Zanzibar
Carlinhos alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichosafiri visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema nyota huyo amerejea jijini Dar es salaam kuendelea na matibabu baada ya kutonesha jeraha
Carlinhos yuko nje kwa ziaidi ya wiki sita akisumbuliwa na majeraha hayo
ADVERTISE HERE