Muda mchache ujao Yanga inashuka uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar kukamilisha ratiba ya michuano ya kombe la Mapinduzi kwa mchezo dhidi ya Namungo Fc
Huu ni mchezo ambao Yanga inahitaji kuondoka na ushindi ili kutinga nusu fainali ya michuano hiyo
Kocha Cedric Kaze ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE