Yanga Princess ni mwendo wa vipigo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2021
Yanga Princess ni mwendo wa vipigo

Ushindi mwingine kwa Yanga Princess umepatikana leo dhidi ya Ruvuma Queens Wananchi wakiondoka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo mkali wa ligi kuu ya Wanawake 'Serngeti Lite'

Ni matokeo yanayoendelea kuiweka Yanga Princess kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Wanawake baada ya kufikisha alama 19

Kinadada hao wameshinda mechi sita, sare moja, wamefunga mabao 19 huku wakiruhusu bao moja tu

Mwendo ni huu hadi Mei 2021...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’