Jana Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, aliwapa ujumbe muhimu Wanayanga ambao 'wamemis' ule usajili uliokuwa ukifanywa katika lile kochi maarufu jeupe
Injinia Hersi amesema kochi jeupe litaonekana wakati wowote kuanzia sasa...!
Hebu tujikumbushe sajili zilizofanyika kupitia kochi hilo. Je ni usajili gani ambao ulitia fora?










ADVERTISE HERE