Balama amepata matibabu ya uhakika Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2021
Balama amepata matibabu ya uhakika Afrika Kusini

Uongozi wa Yanga jana ulithibitisha kuwa kiungo wake Mapinduzi Balama amefanyiwa upasuaji mwingine nchini Afrika Kusini

Balama aliyeumia mwishoni mwa msimu uliopita, mara ya kwanza hapa nchini lakini alipoanza mazoezi, mguu wake ulionekana kuwa na kasoro hivyo kupelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi

Nyota hiyo ameushukuru uongozi pamoja na wadhamini GSM waliosimamia matibabu yake kuhakikisha anarejea uwanjani mapema

"Nashukuru nimefanyiwa upasuaji salama, nawashukuru viongozi wa Yanga pamoja na GSM kuhakikisha nimepatiwa matibabu ya uhakika," alisema Balama

Nyota huyo anatarajiwa kurejea nchini kuuguza jeraha sasa akiwa na uhakika wa kurejea uwanjani baada ya kupona

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’