Dk Bavu afunguka kilichowaponza Ngoma, Tambwe na Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2017
Dk Bavu afunguka kilichowaponza Ngoma, Tambwe na Kamusoko
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema moja ya sababu zilizochangia baadhi ya wachezaji wa Yanga kuwa nje kwa muda mrefu kutoka na majaeruhi ni kukosa kwao kwa maadnalizi ya kutosha kabla ya kuanza kwa msimu.

Amissi Tambwe, Thabani Kamusoko na Donald Ngoma wamekuwa nje kwa muda mrefu wakiuguza majeraha.

Dk Bavu amesema wachezaji hao walikosa sehemu kubwa ya maandalizi ya kuelekea msimu mpya mkoani Morogoro.

"Mfano mzuri ni pale Yanga ilipokwenda kujiandaa Morogoro, yale mazoezi ni muhimu sana kwa ajili ya kuandaa miili yao, saikolojia yao na mishipa ya damu kufanya kazi yake kwa ustadi," alisema Dk Bavu kwenye mahojiano ya MCL

"Chunguza kwa umakini wale waliokuwepo Morogoro, majeraha yao yanapona haraka, lakini ambao hawakuhudhuria inawachukua muda mrefu, kwani miili yao haipo tayari kufanya kazi ngumu na saikolojia zao nzito kuamua mambo."

Aidha Dk Bavu amesema swala la umri mkubwa ni sababu nyingine inayofanya mchezaji ashindwe kupona haraka.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’