Yanga kufunga usajili na wawili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2021
Yanga kufunga usajili na wawili

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufungwa  usiku wa leo Ijumaa, saa 5:59 vilabu vikiaswa kukamilisha michakato yao kwa wakati

Mashabiki wa Yanga wanasubiri kuona mabingwa hao wa kihistoria wanafunga vipi dirisha hilo hasa ikizingatiwa ahadi ilitolewa na Injiania Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM kuwa watashusha mshambuliaji mmoja wa kigeni

Lakini Yanga wanaweza kufunga dirisha kwa kusajili washambuliaji wawili kulingana na kauli iliyotolewa na kocha Cedric Kaze baada ya michuano ya kombe la Mapinduzi

Hatma ya usajili huo itafahamika hii leo kabla ya muda wa dirisha kufungwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’