Balama kurejea Alhamisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2021
Balama kurejea Alhamisi

Kiungo fundi wa Yanga Mapinduzi Balama atarejea nchini kesho Ahamisi akitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu

Nyota huyo alifanyiwa upasuaji wa goti wiki iliyopita na sasa akitarajiwa kurejea dimbani baada ya kupona

Madaktari waliokuwa wakimtibu, wameuhakikishia uongozi wa Yanga kuwa nyota huyo hatakuwa na changamoto zaidi na watarajie ataweza kuungana na wenzake kuendelea na majukumu yake pale atakapokuwa amepona

Hii ni habari njema kwa mashabiki wa Yanga ambao hawajamshuhudia nyota huyo dimbani kwa takribani miezi saba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’