Nani amrithi Mwambusi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jan 2021
Nani amrithi Mwambusi?

Kutokana na changamoto ya kuugua kwa kocha msaidizi Juma Mwambusi, uongozi wa Yanga unamsubiri Kocha Mkuu Cedric Kaze apendekeze jina la kocha ambaye ataziba nafasi yake

Kocha wa African Lyon Nizar Khalfan amepigiwa chapuo zaidi lakini yapo majina mengine yanatajwa kuwa na nafasi ya kumrithi Mwambusi

Kocha wa timu ya Taifa ya Vijana Maalim Saleh 'Romario' ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Yanga, kocha wa zamani wa Tanzania Prisons Adolph Richard na Shaban Ramadhani  nao wametajwa

Juzi Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alibainisha kuwa wanaweza kupendekeza majina ya makocha ambao waliwahi kupita Yanga wakiwa wachezaji

Ukipewa nafasi ya kupendekeza jina moja, utampendekeza nani?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’