Yanga kuanza kujifua leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2021
Yanga kuanza kujifua leo

Baada ya mapumziko ya siku 10, kikosi cha Yanga kinaingia kambini leo kuanza maandalizi ya ligi kuu ya Vodacom itakayorejea Februari 13 pamoja na michuano ya kombe la FA

Ni maandalizi ya awamu ya pili ya mpango wa kusaka ubingwa wa 28

Nyota wa kigeni waliotumia mapumziko hayo kusafiri makwao kuziona familia, walianza kuwasili jana huku wengine wakitarajiwa kutua leo

Nahodha Lamine Moro, mlinda lango Farouk Shikhalo ni miongoni mwa nyota wa kigeni ambao walirejea siku ya jana tayari kuendeleza mapambano

Wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya alama 44, mabingwa hao wa kihistoria watahitaji kuendeleza moto walioanza nao msimu huu wakiwa timu pekee ambayo haijapoteza mchezo katika mashindano yote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’