Mwamba Ntibazonkiza karejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2021
Mwamba Ntibazonkiza karejea

Kiungo mshambuliaji Saido Ntizonkiza amerejea kuendeleza majukumu yake ndani ya kikosi cha Yanga baada ya mapumziko ya siku 10

Ntibazonkiza anaanza mazoezi na wachezaji wengine wiki hii baada ya kupona majeraha

Jana kocha mkuu wa Yanga cedric Kaze alithibitisha kuwa Ntibazonkiza na Yacouba Songne wamepona majeraha na wataanza mazoezi wiki hii

Mshambuliaji Fiston Abdul Razak naye alitarajiwa kuwasili leo kuungana na wenzake kule Kigamboni

Mapema mwezi huu, Ntibazonkiza aliisaidia Yanga kushinda taji la Mapinduzi akicheza mchezo wa fainali dhidi ya Simba licha ya kutokuwa fiti kwa asilimia 100

Mkwaju wake wa mwisho ndio uliyoihakikishia Yanga kuondoka na ushindi wa mikwaju ya penati 4-3 dhidi ya Simba

Anatarajiwa kutengeneza pacha matata na Fiston ambaye Wananchi wanasubiri kuona makali yake dimbani

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’