Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mechi za ligi kuu ya Vodacom pamoja na kombe la FA
Kwa mara ya kwanza Kocha Msaidizi Nizar Khalfan na Kocha wa viungo Edem Mortotsi leo walikuwa sehemu ya benchi la ufundi wakisimamia mazoezi






ADVERTISE HERE