Nitahakikisha tunashinda ubingwa - Fiston

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2021
Nitahakikisha tunashinda ubingwa - Fiston

Habari ya mjini ni ujio wa mshambuliaji mpya wa Yanga Fiston Abdul Razak aliyewasili jana kuanza majukumu yake na timu ya Wananchi

Wadhamini wa Yanga GSM wamefanikisha ujio wa nyota huyo ambaye alikuwa ni pendekezo la kocha Cedric Kaze

Fiston ni aina ya mshambuliaji ambaye Yanga ilimuhitaji wakati huu ili kuongeza makali ya safu yake ya ushambuliaji

Baada ya kutua tu, Fiston aliwashukuru mashabiki waliojitokeza kwa wingi kumpokea uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere hapo jana

Lakini muhimu, akawaambia Wananchi kuwa amekuja kufanya kazi hivyo watarajie mambo mazuri kutoka kwake

"Nawashukuru mashabiki mliojitokeza kuja kunikaribisha timu yetu ya Wananchi. Napenda kuwahakikishia kuwa nitajituma kadiri ya uwezo wangu, nitafunga mabao na muhimu zaidi nitahakikisha tunashinda ubingwa mwaka huu," alisema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’