Katika kuhakikisha inaboresha kitengo chake cha Tiba kwa wachezaji, klabu ya Yanga imemuajiri Dk Nahumu Muganda
Daktari huyo alikuwa na klabu ya Ihefu Fc ya mkoani Mbeya
Dk Muganda pia amewahi kufanya kazi na klabu ya Kagera Sugar
Ujio wake Yanga ni katika kuimarisha eneo la tiba na usimamizi wa afya za wachezaji
ADVERTISE HERE