Nugaz afafanua Wananchi Media Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2021
Nugaz afafanua Wananchi Media Day

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema tukio la Wananchi Media Day ambalo litafanyika viunga vya Avic Town kule Kigamboni hapo kesho, litawapa fursa wanahabari kukutana ana kwa ana na wachezaji, viongozi na benchi la ufundi la Yanga kufahamu masuala mbalimbali yanayoihusu Yanga

Nugaz amesema tukio hili ni endelevu kila mara watakuwa na utaratibu huu ambao wenye lengo la kujenga mahusiano mazuri kati ya klabu ya Yanga na Wanahabari ambao ndio wadau namba moja katika kuitangaza 'brand' ya Yanga

"Hii ni mara ya kwanza utaratibu huu Yanga tunauleta haba Tanzania (Wananchi Media Day)"

"Kiuhalisia ni siku ambayo itakuwa inatoa Fursa kwa Waandishi wa Habari kupata mahojiano ya ana kwa ana kwa timu nzima ya Yanga, taarifa za bidhaa mbalimbali za Wadhamini wetu,viongozi pamoja wadau wa soka," amesema Nugaz

Wanahabari wameaswa kuchangamkia nafasi hii ambayo itawawezesha kuingia katika mji wa Avic Town kwa mara ya kwanza, mji ambao klabu ya Yanga inaishi humo

Kwa siku za kawaida hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kuingia ndani ya kambi ya Yanga pasipo kuwa na ruhusa ya uongozi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’