Nugaz afunguka sakata la Tambwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2021
Nugaz afunguka sakata la Tambwe

Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema uongozi wa timu hiyo utalishughulikia suala la mshambuliaji Amisi Tambwe haraka

Aidha Nugaz amesema kupitia Kaimu Katibu Mkuu Haji Mfikirwa, watatoa taarifa rasmi kuhusu sakata hilo

"Taarifa kuhusu suala la Amisi Tambwe binafsi nimeziona kwenye mitandao ya kijamii, hivyo naamini Kaimu Katibu Mkuu atalishughulikia kwa haraka sana"

"Sisi tumeshatoka huko, ule unyonge tuliokuwa nao zamani haupo tena, hakuna shaka litamalizwa haraka na mambo mengine yataendelea kama kawaida," alisema Nugaz

Jana usiku ziliibuliwa taarifa kuwa Yanga imefungiwa kusajili kwa madirisha matatu mpaka pale itakapomlipa Tambwe malimbikizo ya fedha anazodai

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
51m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’