Kikosi cha Yanga kimepewa mapumziko ya siku moja kikitarajiwa kurejea dimbani kesho siku moja kabla ya kuivaa timu ya Jeshi la Polisi kwenye mchezo wa kirafiki keshokutwa Jumamosi.
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amekuwa akiwafua vijana wake kwa mazoezi mfululizo ya Gym na uwanjani nyakati za jioni.
Mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi utapigwa kwenye uwanja wa Taifa.
Mchezo huo utawapa nafasi mashabiki wa Yanga kuwashuhudia wachezaji wao wapya Fiston Kayembe na Yohana Mkomola.
Aidha Amissi Tambwe anatarajiwa kurejea dimbani baada ya kukaa nje kwa wiki nne.

ADVERTISE HERE