Mtanange wameupeperusha hadi May

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2021
Mtanange wameupeperusha hadi May

Jana Bodi ya Ligi ilitangaza ratiba ya mechi za mzunguuko wa pili kuanzia raundi ya 19 mpaka raundi ya 34

Miongoni mwa mabadiliko yaliyofanyika, ni kuusogeza mbele mchezo wa pili wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopaswa kupigwa Februari 20, 2021

Kwa mara nyingine,Β  Bodi imeshindwa kuacha mchezo huo uchezwe kwenye tarehe waliyoipanga awali. Mechi sasa itachezwa May 08

Oktoba 18 ilikuwa tarehe ambayo mchezo wa duru ya kwanza ulipaswa kupigwa lakini ukasogezwa mbele mpaka Novemba 07

Wakati huo ilielezwa kuwa baadhi ya wachezaji (wa kigeni) wangechelewa kujiunga na timu zao kutoka majukumu ya timu za Taifa

Naona bado mambo ni yaleyale...!

Ratiba yote ya mechi zilizobaki itapatikana kwenye ukurasa wa Ratiba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’