Ntibazonkiza kuikosa Mbeya City, jeshi kamili hili hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2021
Ntibazonkiza kuikosa Mbeya City, jeshi kamili hili hapa

Kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi kitakachosafiri mkoani Mbeya kesho Alhamisi akiwa bado anasumbuliwa na majeraha ya nyama za paja

Lakini habari njema kwa Yanga ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji Yacoub Songne ambaye alipata majeraha kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar

Yanga itasafiri mkoani Mbeya na kikosi cha wachezaji 24, orodha yao hii hapa;

1. Metacha Mnata

2. Farouk Shikhalo

3. Kibwana Shomari

4. Paulo Godfrey

5. Yassin Mustafa

6. Adeyum Saleh

7. Lamine Moro

8. Bakari Nondo Mwamnyeto

9. Said Juma Makapu

10. Mukoko Tomombe

11. Dickson Job

12. Faeisal Salum

13. Zawadi Mauya

14. Deus Kaseke

15. Tuisila Kisinda

16. Omary Chibada

17. Haruna Niyonzima

18. Carlos Carlinhos

19. Michael Sarpong

20. Fiston Abdul Razak

21. Farid Mussa

22. Yacouba Songne

23. Waziri Junior

24. Ditram Nchimbi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’