Senzo, Khimji wazindua Matawi Mbeya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2021
Senzo, Khimji wazindua Matawi Mbeya

Viongozi waandamizi wa klabu ya Yanga wakiongozwa na Mshauri wa uendeshaji Senzo Mazingisa bila kumsahau Mwenyekiti wa kamati ya matawi Saada Khimji wako mkoani Mbeya na timu kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City utakaopigwa kesho Jumamosi

Aidha, viongozi hao leo walishiriki katika tukio la uzinduzi wa Matawi mapya ya klabu ya Yanga mkoani Mbeya

Matawi hayo yanayofahamika kwa majina ya Kiwira na Simambwe yanapatikana ndani ya jiji la Mbeya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’