Mkutano Mkuu Yanga kuitishwa ndani ya miezi mitatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2017
Mkutano Mkuu Yanga kuitishwa ndani ya miezi mitatu
Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema uongozi unakusudia kuitisha mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga katika kipindi cha miezi mitatu ili kupitisha mabadiliko ya uendeshaji wa klabu.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, Mkwasa amesema Kamati ya Utendaji ya Yanga iliyokutana juzi, Disemba 13 imeridhia kuanza kwa mchakato wa mabadiliko.

Mkwasa amesema kwa sasa Yanga imeanza kukaribisha maombi ya wawekezaji mbalimbali na ikikamilisha kufanya tathmini ya thamani ya klabu itaitisha Mkutano Mkuu ili kupitisha maazimio ya mabadiliko hayo.

"Wanachama hawahitaji historia, wanahitaji matokeo," amesema Mkwasa.

"kwa sasa tutapokea maombi mbalimbali ya wawekezaji na baadaye tutakwenda kwenye mkutano Mkuu wa Wanachama ndani ya miezi mitatu ijayo kwa ajili ya kuwauliza iwapo watakubalina na suala hilo."
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’