Wiki mbaya kwa Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Mar 2021
Wiki mbaya kwa Wananchi

Yanga Princess wamepoteza mchezo mbele ya watani zao Simba Queens wakikubali kipigo cha mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Yanga Princess waliokuwa pungufu kwa muda mwingi wa mchezo, wamepoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu kama ilivyokuwa kwa kaka zao Yanga ambao jana walipoteza mchezo wa kwanza msimu huu kwa kufungwa mabao 2-1 na Coastal Union

Kocha Mkuu wa Yanga Princess Edna Lema amewapongeza watani zao kwa kupata ushindi huo hata hivyo amesema bado msimu haujamalizika

Simba Queens wamepanda kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 39, Yanga Princess wakishuka nafasi ya pili wakibaki na alama zao 38

Bado vita ya ubingwa iko wazi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’