Mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga wako mkoani Arusha ambapo jioni ya leo watashuka katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE