Happy Birthday Ditram Nchimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2021
Happy Birthday Ditram Nchimbi

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi

Pamoja na ukosoaji anaopitia kutokana na ukame wa mabao, Nchimbi ni mchezaji ambaye ndani ya kikosi cha Yanga amekuwa na umuhimu wake

Ni aina ya wachezaji ambao makocha wengi huwapendelea. Anajituma, anapambana sana awapo uwanjani

Ni miongoni mwa wachezaji wa Yanga waliojumuishwa kwenye timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inayojiandaa na mechi za kufuzu Afcon 2022

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

Happy BirthDay Ditram Nchimbi 'Duma'

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’