Kocha wa Sudan ajitosa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2021
Kocha wa Sudan ajitosa Yanga

Mratibu/Mshauri Yanga Senzo Mbartha amedokeza kuwa hadi kufikia siku ya Jumapili watakuwa wamepata jina la kocha mpya anayetarajiwa kuchukua nafasi ya Cedric Kaze

Yanga imeendelea kupokea majina ya makocha wanaotuma CV zao idadi ikifika 75

Miongoni mwa makocha waliotuma CV, ni Hubert Velud ambaye kwa sasa anainoa timu ya Taifa ya Sudan

Hubert ni kocha mwenye uzoefu mkubwa na soka la Afrika akiwa amewahi kuzinoa klabu za Etoile Du Sahel, Difaa El Jadid, JS Kabylie, USM Alger na TP Mazembe

Kigezo namba moja kitakachotumika kumpata kocha mpya Yanga ni uzoefu ndani ya soka la Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’