Yanga U-20 yaanza kibabe ligi ya vijana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Mar 2021
Yanga U-20 yaanza kibabe ligi ya vijana

Timu ya vijana ya Yanga U-20 imeanza vyema ligi kuu ya Vijana Tanzania Bara baada ya kuichapa Namungo Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi

Huu ni ushindi mzuri sana kwa vijana wa Yanga, mwanzo mwema wa ligi, ndicho walichohitaji

Ligi hiyo imeanza kutimua vumbi leo, matokeo ya michezo mingine ni kama yanavyoonekana pichani juu

Yanga iko kundi A pamoja na timu za Costal Union,Polisi Tanzania, Azam Fc, Namungo Fc na Ruvu shooting

Kundi B lina Tanzania Prisons, Mtibwa Sugar, Mbeya City, Ihefu Sc, Simba Sc na KMC Fc

Kundi C Dodoma Jiji Fc, Kagera Sugar, Mwadui Fc, Gwambina Fc, JKT Tanzania na Biashara United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’