Simba - Yanga - JKT

JKT Queens yavutwa shati, Simba Queens haikamatiki

Joel JJ By Joel JJ
1 Feb 2023
JKT Queens yavutwa shati, Simba Queens haikamatiki

Ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Alliance Girls leo umeifanya Simba Queens izidi kusogea juu kwenye msimamo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite'

Simba Queens iko nyuma ya vinara wa ligi hiyo JKT Queens kwa tofauti ya alama moja baada ya kufikisha alama 16

JKT Queens leo wamelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Yanga Princess na kufikisha alama 17

Fountain Gate nao wamelazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ceasiaa Queens hivyo kufikisha alama 16 lakini wameshuka nafasi ya tatu kwa tofauti ya mabao dhidi ya Simba Queens

Mwanadada Jentrix Shikangwa alikuwa shujaa wa Simba Queens leo akifunga mabao yote

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
5h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
6h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
8h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
8h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
9h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
9h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
9h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
9h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
10h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
12h ago
READ MORE →