Kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS), Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya tano (5) kwa ubora barani Afrika na ya 39 duniani kwa mwaka 2022
Ligi hiyo imepanda kutoka nafasi 10 Afrika na ya 62 Duniani kwa mwaka 2021




