Yanga - Namungo

Yanga yaipania Namungo Fc

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Feb 2023
Yanga yaipania Namungo Fc

Kocha Msaizidi wa Yanga Cedric Kaze amesema wamekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Kaze amesema wamejiandaa kukabiliana na mechi ngumu dhidi ya Namungo ambao wana kikosi imara kilichoongezewa ubora katika usajili wa dirisha dogo

"Mechi dhidi ya Namungo Fc haijawahi kuwa rahisi, tunafahamu ni moja ya timu zinazocheza soka la ushindani kwenye ligi. Tunacheza katika uwanja wetu wa nyumbani, najua tutakuwa na sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki wetu hivyo tutahakikisha tunapata matokeo mazuri," alisema Kaze

Kaze aliongeza kuwa wachezaji wawili watakosekana katika mchezo huo wakiwa ni majeruhi

"Golikipa Aboutwalib Mshery bado ni majeruhi wakati Denis Nkane ndio ameanza mazoezi mapesi akitoka kwenye majeraha. Wachezaji wengine tunawaangalia baada ya mazoezi ya mwisho leo tutajua kama tutawatumia au la"

"Lakini naweza kuhakikisha kuwa Khalid Aucho atatumika siku ya kesho," alisema Kaze

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
3h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
7h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
7h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
8h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
9h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
10h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
10h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
1d ago
READ MORE β†’