Prisons

Ajali kumuweka Zabona nje miezi miwili

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Feb 2023
Ajali kumuweka Zabona nje miezi miwili

Winga wa Tanzania Prisons, Zabona Hamis atakuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili baada ya kubainika kuumia fuvu la kichwa kufuatia ajali ya pikipiki aliyoipata tangu mechi yao na Ihefu, Januari 21 mkoani Mbeya

Nyota huyo aliyewahi kuichezea Alliance FC kwa mafanikio alijiunga na Prisons mapema msimu huu na katika mechi za karibuni amekuwa na mchango mkubwa kikosini.

Ofisa habari wa timu hiyo, Jakson Mwafulango amesema nyota huyo alipata ajali tangu walipomaliza mchezo wao na Ihefu na taarifa za daktari wa klabu, Kilulu Masonga ni kuwa alibainika kuumia fuvu la kichwa

Amesema kwa sasa staa huyo tayari amewasili Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi na wanatarajia mchezaji huyo atarejea uwanjani akiwa salama baada ya kipindi hicho

"Alikuwa anatoka kambini anavuka barabara kwenda dukani ndio akagongwa na pikipiki, lakini uongozi upo karibu naye kuhakikisha anapata matibabu na jana amepanda ndege kwenda Dar es Salaam," alisema Mwafulango

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
20h ago
READ MORE β†’