Ruvu - KMC

Ruvu Shooting yazinduka, yaichapa KMC 2-1

Joel JJ By Joel JJ
5 Feb 2023
Ruvu Shooting yazinduka, yaichapa KMC 2-1

Wakicheza mechi yao ya kwanza kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Ruvu Shooting leo wamepata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi baada ya muda mrefu wakiifunga KMC mabao 2-1

Ni ushindi wa nne kwa Ruvu Shooting msimu huu, ushindi ambao unaweza kuwaongezea matumaini katika vita ya kuwania kubaki ligi kuu

Ushindi huo umewafanya wasogee mpaka nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi wakiishusha chini Polisi Tanzania ambayo inasubiri kucheza na Kagera Sugar

Aidha mechi iliyopigwa mapema, Ihefu Fc waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City

Ihefu Fc 'gari limewaka' kwani wameshinda mechi nne kati ya tano zilizopita

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
13m ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
27m ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
1h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
1h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
2h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
14h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
14h ago
READ MORE →