Barcelona - Sevilla - Real Madrid

Fc Barcelona yazidi kujichimbia kileleni La Liga

Joel JJ By Joel JJ
6 Feb 2023
Fc Barcelona yazidi kujichimbia kileleni La Liga

Ushindi wa mabao 3-0 ambao Fc Barcelona waliupata dhidi ya Sevilla hapo jana, umewafanya waendelee kujichimbia kileleni mwa La Liga sasa kwa tofauti ya alama nane

Real Madrid walikumbana na kipigo kisichotarajiwa kutoka kwa Mallorca wakichapwa bao 1-0 katika mchezo uliopigwa mapema hapo jana

Jordi Alba, Gavi na Rafihna ndio walioihakikishia Barcelona ushindi huo katika mchezo uliopigwa saa 5 usiku

Fc Bercelona wamekuwa na kiwango bora msimu huu, wanajiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji la La Liga

Wamekusanya alama 53 kutoka mechi 20 wakifuatiwa na Real Madrid yenye alama 45 kutoka mechi 20 pia

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
2h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
2h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
2h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
2h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
4h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →