Tottenham

Kane aweka rekodi ya kibabe Uingereza

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Feb 2023
Kane aweka rekodi ya kibabe Uingereza

Bao alilofunga katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Manchester City hapo jana limemfanya Harry Kane kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu ya Tottenham Hotspurs akifikisha mabao 267

Kane amevunja rekodi ya mabao 266 iliyowekwa na Jimmy Greaves ambayo ilidumu kwa ziadi ya miaka 50

Aidha Kane pia ameingia kwenye historia ya wachezaji waliofunga mabao 200 au zaidi katika ligi kuu ya Uingereza

Yuko nyuma ya Alan Shearer aliyefunga mabao 260 na Wayne Rooney aliyefunga mabao 208

Katika msimu huu Kane amefunga mabao 17 kwenye ligi kuu ya Uingereza akiwa nyuma kwa tofauti ya mabao nane dhidi ya Haaland wa Manchester City aliyefunga mabao 25

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
32m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’