KMC

KMC hali ni tete Ligi kuu

Joel JJ By Joel JJ
7 Feb 2023
KMC hali ni tete Ligi kuu

Watoza ushuru wa Manispaa ya Kinondoni, KMC wanakabiliwa na ukata wa ushindi katika ligi kuu ya NBC

Katika michezo 14 ya Ligi Kuu iliyopita KMC imeshinda mechi mbili tu. Ni matokeo mabaya zaidi kwa timu hiyo na sasa ligi ikiwa inaelekea ukingoni

Kwenye mechi hizo 14 zilizopita, KMC ilipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Coastal Union na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania.

Mechi nyingine 12 wamepata sare 4 na kupoteza mechi nane (8). Kwenye mechi tano (5) zilizopita, KMC imepoteza mechi nne (4) na kuambulia sare moja (1).

Kwa maana hiyo, katika mechi tano (5) zilizopita KMC imepata alama moja tu

Wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Ligi wakiwa na alama 23 tofauti ya alama moja (1) na Tanzania Prisons ambao wapo nafasi ya 13 wakiwa ni sehemu ya kucheza play offs kubaki Ligi Kuu.

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
25m ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
1h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
3h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
3h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
4h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
4h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
4h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
4h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
5h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
7h ago
READ MORE →