Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia imetinga hatua ya fainali ya kombe la Dunia la vilabu kufuatia ushindi wa 3-2 dhidi ya miamba ya Brazil Flamengo katika mchezo uliopigwa katika dimba la Tangier’' Ibn Batuta.
Al Hilal inasubiri inamsubiri mshindi wa mchezo kati ya Al Ahly ya Misri dhidi ya Real Madrid ya Hispania katika nusu fainali ya pili siku ya leo Jumatano
Je Al Ahly wataweza kuwafuata Al Hilal fainali na kuvunja utawala wa klabu za Ulaya katika michuano hiyo?
Mchezo utapigwa saa 4 usiku



