Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Mechi hizo ambazo washindi watatinga robo fainali, zitapigwa kati ya March 02 na March 05