Yanga safarini Tunisia

Joel JJ By Joel JJ β€’ 8th February 2023


Yanga safarini Tunisia

Kikosi cha Yanga kiliwasili Dubai jana majira ya saa 3 usiku wakiwa safarini kuelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya US Mionastir

Yanga imeondoka Dubai leo asubuhi na inatarajiwa kuwasili Tunisia majira ya mchana

Mchezo dhidi ya US Monastir utapigwa Jumapili, Februari 12 huko Tunisia


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.