Msafara wa kikosi cha Simba ukijumuisha watu 45 ambapo wachezaji ni 24, umeondoka Alfajiri ya leo Alhamisi kuelekea Guinea kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Horoya Ac
..... download Xtra 90 App



