Manchester United - Leeds

Manchester United chupuchupu mbele ya Leeds

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Feb 2023
Manchester United chupuchupu mbele ya Leeds

Mabao ya Marcus Rashford na Jadon Sancho yaliinusuru Manchester United na kupigo kutoka kwa Leeds United katika mchezo Ligi Kuu ya Uingereza uliopigwa dimba la Old Trafford

Gnonto aliitanguliza Leeds kwa bao la mapema dakika ya kwanza kabla ya Verane kujifunga bao la pili kuipa Leeds uongozi usiotarajiwa wa mabao 2-0

Ikumbukwe Leeds waliingia kwenye mchezo huo wakiwa hawana kocha baada ya kumtimua Jesse Marsch siku ya Jumatatu

Ni matokeo ambayo yanazidi kuvuruga hesabu za United katika mbio za ubingwa kwani sasa wako nyuma ya vinara Arsenal kwa tofauti ya alama 7

Arsenal wana mechi mbili za viporo

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
10h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
17h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
18h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
19h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
21h ago
READ MORE β†’