Geita Gold

Uwanja wa Geita Gold kuwekwa nyasi bandia

Joel JJ By Joel JJ
9 Feb 2023
Uwanja wa Geita Gold kuwekwa nyasi bandia

Halmashauri ya mji wa Geita imeweka wazi kuwa inatazamia kufanyia mabadiliko uwanja wake mpya na kuondoa nyasi za asili zilizopandwa, ili kuweka nyasi bandia.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Costantine Moradi ametoa taarifa hiyo katika mkutano Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Geita (GEREFA).

Morandi amesema hadi sasa ujenzi wa uwanja unaendelea na nyasi za asili zilishapandwa, lakini ukaguzi wa mhandisi mshauri umebaini kuna mabonde chini ya nyasi.

"Kwa hiyo tumekubaliana hivyo, yule mtaalamu wa TFF (Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania) aliyekuja, tumempa maelekezo atueleze gharama za kuweka nyasi bandia, tena zile za kiwango cha juu.

"Alitueleza kuna nyasi za viwango vitatu, kwa maana ya A, B na C, na sisi tumemwambia tunataka zile nyasi zenye ubora wa daraja A kama zilizopo chamazi," alisema Moradi

More Stories

BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
1h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
1h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
3h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
3h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
3h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
3h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
3h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
5h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
15h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
15h ago
READ MORE →