Newcastle - Chelsea - Ghana

Atsu bado amekwama kwenye kifusi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
10 Feb 2023
Atsu bado amekwama kwenye kifusi

Jana usiku vyombo mbalimbali ya Habari kutoka Uturuki vilitoa taarifa kuwa nyota wa kimataifa wa Ghana Atsu hakuwa ameokolewa kama ambavyo iliripotiwa awali.

Taarifa hizo zilikuja mara baada ya viongozi wa klabu yake ya sasa kuzunguka kwenye hospitali zote wakijaribu kumsaka bila mafanikio.

Inadaiwa Christian Atsu bado amekwama kwenye kifusi yeye na meneja wake na jitihada za uokoaji zikiwa bado zinaendelea kwake na watu wengine.

Atsu ni miongoni mwa waliopata na matatizo ya tetemeko kubwa la ardhi yaliyotokea Ututuki na Syriana kusababisha vifo vya watu zaidi ya 2000 na familia nyingi kukosa makazi.

Wadau mbalimbali wa soka Duniani wamemtakia kheri Atsu na wengine wote ambao bado wamekwama waokolewe wakiwa hai

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
33m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’