Mputu astaafu soka

Joel JJ By Joel JJ β€’ 10th February 2023


Mputu astaafu soka

Akiwa na umri wa miaka 39, gwiji wa soka wa Kongo, Tresor MPUTU MABI anaamua kustaafu soka.

Mputu ni mzaliwa wa Kinshasa ambaye ameacha historia kubwa katika ulimwengu wa soka

Alianza soka yake huko Lumumbashi, aliitwaa mataji ya Ligi ya Mabingwa ya CAF mara mbili (2009, 2010), Kombe la Shirikisho (2017), Super Cups mbili za Afrika na taji la mchezaji bora anayecheza barani Afrika 2009.

Aliichezea timu ya Taifa ya DR Congo mara 54, mabao 14, alishiriki CAN mara 4

Amewahi kuwa mfungaji bora katika historia ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika (mabao 41)


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.