Simba - Horoya - Vipers

Vipers hoi, Horoya Ac vs Simba ni leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
11 Feb 2023
Vipers hoi, Horoya Ac vs Simba ni leo

Vipers Fc wamekaribishwa hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa Raja Casablanca

Mabingwa hao wa Uganda ni mara yao ya kwanza kushiriki hatua ya makundi ya michuano hiyo

Leo mchezo mwingine wa kundi C kati ya Horoya AC dhidi ya Simba utapigwa huko Guinea

Mechi muhimu kwa Simba kuanza vyema michuano hiyo katika mkakati wao wa kucheza nusu fainali

Mechi nyingine iliyopigwa jana, iliwashuhudia mabingwa wa Misri Zamalek wakiwa nyumbani, wakikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa CR Belouizdad

Mechi nyingine za michuano hiyo zinaigwa leo, Mamelod Sundowns wakichuana na Al Hilal katika moja ya mechi hizo

Al Hilal waliweka kambi ya siku 10 nchini kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa saa 10 jioni

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
44m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
56m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
10h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’