Yanga

Yanga yakubali kichapo dhidi ya US Monastir

Joel JJ By Joel JJ
β€’
12 Feb 2023
Yanga yakubali kichapo dhidi ya US Monastir

Mchezo wa kwanza kwa Yanga hatua ya makundi kombe la Shirikisho umemalizika kwa Wananchi kukubali kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya US Monastir huko Tunisia

Monastir walifunga mabao yao kwenye dakika 16 za kwanza kupitia mipira ya kichwa kutoka kwa Muhamed Sakhroul na Bobacar Traore wakitumia makosa ya safu ya ulinzi ya Yanga katika kucheza mipira ya krosi

Ni mabao yaliyofanana na aina ya mabao ambayo Yanga imekuwa ikiruhusu kupitia mipira hiyo

Yanga ilitawala mchezo huo kwa muda mwingi kitu pekee ambacho kitawasononesha Wananchi ni timu yao kutofunga walau bao moja

Mchezo unaofuata ni dhidi ya TP Mazembe, utapigwa Jumapili ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
34m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
19h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’