PSG - Barcelona

Messi anaweza kuondoka PSG

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Feb 2023
Messi anaweza kuondoka PSG

Nyota wa Argentina na mshindi wa kombe la Dunia 2022 Lionel Messi ameripotiwa kutaka kuondoka Paris Saint German licha ya ripoti za hivi kribuni kuashiria kuwa na uwezekano wa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia miamba hiyo ya Ufaransa.

Japo mpango wa kuongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kusalia Jijini Paris bado ni chaguo kwa Messi lakini, haionekani kuwa kipaumbele cha nyota huyo wa zamani wa Barcelona kwa sasa.

Vilabu vya Barcelona na Inter Miami vimeonesha nia ya kutaka saini ya mshindi huyo mara 7 wa Ballon d'or

Inaelezwa kuwa Messi anasita kuhamia MLS, ikizingatiwa kwamba anataka kusalia kuwa sehemu ya timu ya taifa ya Argentina kuelekea Copa America 2024

Messi (35) umeonekana kuimarika kwa kiwango kikubwa msimu huu ikilinganishwa na mwaka wake wa kwanza huko Paris

Msimu huu Messi amefunga mabao 15 katika michuano yote

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
15h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’