Kocha Dodoma Jiji aomba radhi waamuzi

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th February 2023


Kocha Dodoma Jiji aomba radhi waamuzi

Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji Melis Medo amewaomba radhi waamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu na wadau wote kutokana na kitendo cha kumpokonya kadi ya njano Mwamuzi wa kati na kumuonyesha kadi hiyo Mwamuzi wa akiba katika mchezo wa ligi kuu kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Dodoma Jiji


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.