Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amewataka Wanachama na mashabiki wa timu hiyo kununua tiketi kwa wingi ili kuhakikisha wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Raja Casablanca
..... download Xtra 90 App



