Yanga

Yanga yarejea kutoka Tunisia

Joel JJ By Joel JJ
β€’
14 Feb 2023
Yanga yarejea kutoka Tunisia

Kikosi cha Yanga SC kimetua jijini Dar leo kikitoka Tunisia ambapo walicheza mechi ya kwanza ya makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir na kufungwa mabao 2-0

Mechi ijayo Yanga itakuwa mwenyeji kwenye uwanja wa Mkapa dhidi ya TP Mazembe Jumapili Februari 19 saa 1:00 usiku

Akizungumza baada ya kuwasili, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi alisema hawakufurahishwa na matokeo ya kufungwa na US Monastir katika mchezo ambao hawakustahili kipigo

Nabi alisema walifungwa mabao mepesi ambayo hawapaswi kufungwa katika ngazi hii ya mashindano

"Tuna masikitiko kwa sababu tulichokipata hatukustahili. Tumefungwa mabao mawili kupitia mipira ya kutenga, hatupaswi kufungwa mabao ya aina hiyo katika ngazi hii"

"Tumeumia na tunajua mashabiki wetu nao wameumia. Hilo linatufanya tujipange sawa sawa ili kuhakikisha tunashinda mchezo unaofuata," alisema Nabi

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
33m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’