Transfer

Tetesi za soka Ulaya, Jumatano, Februari 15 2023

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Feb 2023
Tetesi za soka Ulaya, Jumatano, Februari 15 2023

Manchester United wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Tammy Abraham, 25, anapiga soka ya kulipwa katika klabu ya Roma ya Italia. (Caught offside via Manchester Evening News)

Chelsea wako tayari kujiunga na kinyang'anyiro cha kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Uingereza anayekadiriwa kuwa na thamani ya pauni 100m Jude Bellingham, 19, kutoka Borussia Dortmund licha ya kutumia zaidi ya pauni 600m katika madirisha mawili yaliyopita ya uhamisho. (Telegraph - usajili unahitajika)

Leicester wameongeza kasi ya mazungumzo ya kandarasi na kiungo James Maddison, 26, huku mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza akikaribia miezi 12 ya mwisho ya mkataba wake wa sasa. (Telegraph - usajili unahitajika)

Ansu Fati hana nia ya kuondoka Fc Barcelona licha ya kuhusishwa na klabu kadhaa kutoka nchini Uingereza (Mundo Derpotive)

Tottenham wanafuatilia uhamisho wa mlinda mlango wa Sevilla mwenye umri wa miaka 31 kutoka Morocco Yassine Bounou, anayejulikana kama Bono, huku wakitafuta mbadala wa muda mrefu wa Mfaransa Hugo Lloris, 36. (AS - kwa Kihispania)

Aston Villa wanatarajia ofa kwa ajili ya mlinda mlango wa Argentina aliyeshinda Kombe la Dunia Emiliano Martinez, 30, msimu huu wa joto, lakini hawana shinikizo la kumuuza kwani kandarasi yake inaendelea hadi 2027. (Mail).

Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani, anatarajiwa kutoa ofa ya zaidi ya £4bn kwa Manchester United kufikia tarehe ya mwisho ya Ijumaa. (Guardian)

Athletico Paranaense wamekataa ofa kutoka kwa Barcelona na vilabu vingine viwili kwa ajili ya mshambuliaji wa Brazil Vitor Roque, 17, ambaye pia anaripotiwa kuwindwa na Arsenal. (Bao kupitia Globo Esporte)

BBC

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
4h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
4h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
4h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
8h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
11h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
12h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
12h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
13h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
14h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
15h ago
READ MORE β†’